Ecclesiastes 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: Ni sawa na kufukuza upepo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: ni sawa na kufukuza upepo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kufukuza upepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: Ni sawa na kufukuza upepo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikayatazama yote yanayofanywa chini ya jua, nikayaona yote kuwa ya bure, kuwa kuukimbilia upepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeyaona mambo yote yanayofanywa chini ya jua. Yote ni bure sawa na kutaka kukamata upepo!