Ecclesiastes 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa; kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kilichopindika hakiwezekani kunyoshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yaliyopotoka hayawezi kunyooshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yapotokayo hayanyosheki, wala yasiyokuwako hayahesabiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitu kilichokunjama hakiwezi kunyooshwa. Kitu kisichokuwa hakiwezi kuhesabiwa.