Ecclesiastes 1:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kizazi chapita na kingine chaja, lakini dunia yadumu daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kizazi kimoja kikienda zake, kingine huja, lakini nchi hukaa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kizazi kimoja kinapita na kingine kinakuja, lakini dunia inadumu milele.