Ecclesiastes 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua huchomoza na jua huzama, nalo huarakisha kurudi maawioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa mawio yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua lachomoza na kutua; laharakisha kwenda machweoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua hucha, tena huchwa, kisha hupakimbilia pake pa macheo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua linachomoza na kutua; linarudi haraka kwa pahali linapotokea.