Ecclesiastes 1:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mito yote huingia baharini, lakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mito yote hutiririkia baharini, lakini bahari kamwe haijai; huko ambako mito hutiririkia ndiko huko inakotoka tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mito yote huenda baharini, lakini bahari haijai; papo hapo, mito inaposhika njia zao, ndipo, inapojiendea na kuishika njia ileile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mito yote inatiririkia ndani ya bahari, lakini bahari haijai hata kidogo; kule ambako mito inatiririkia ndiko kule inaendelea kwenda.