Ecclesiastes 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo yote husababisha uchovu, uchovu mkubwa usioelezeka. Jicho halichoki kuona, wala sikio kusikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vitu vyote vinachosha, kuliko mtu anavyoweza kusema. Jicho kamwe halitosheki kutazama, wala sikio halishibi kusikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo yote husababisha uchovu, uchovu mkubwa usioelezeka. Jicho halichoki kuona, wala sikio kusikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vitu vyote vinachosha, zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. Jicho kamwe halitosheki kutazama, wala sikio halishibi kusikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vitu vyote vinachosha, zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. Jicho kamwe halitosheki kutazama, wala sikio halishibi kusikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo yote husababisha uchovu, uchovu mkubwa usioelezeka. Jicho halichoki kuona, wala sikio kusikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo yote huchokesha, mtu asiweze kuyasema yote, wala macho hayashibi kwa kuyatazama, wala masikio hayajai kwa kuyasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo yote yanasababisha muchoko, muchoko mukubwa usioelezeka. Jicho halichoki kuona, wala sikio kusikia.