Ecclesiastes 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaliyokuwako ndio yatakayokuwako, yaliyotendeka ndio yatakayotendeka; duniani hakuna jambo jipya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, kile kilichofanyika kitafanyika tena, hakuna kilicho kipya chini ya jua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaliyokuwako ndio yatakayokuwako, yaliyotendeka ndio yatakayotendeka; duniani hakuna jambo jipya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kile kilichokuwapo kitakuwapo tena, kile kilichofanyika kitafanyika tena, hakuna kilicho kipya chini ya jua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, kile kilichofanyika kitafanyika tena, hakuna kilicho kipya chini ya jua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaliyokuwako ndio yatakayokuwako, yaliyotendeka ndio yatakayotendeka; duniani hakuna jambo jipya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako tena, nayo yaliyofanywa ndiyo yatakayofanywa tena; hakuna jipya litakalotokea chini ya jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yaliyokuwa ndiyo yatakayokuwa, yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka. Chini ya jua hakuna jambo jipya.