Ecclesiastes 10:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpumbavu hububujika maneno. Binadamu hajui yatakayokuwako, wala yale yatakayotukia baada yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna yeyote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, upumbavu huongeza maneno; lakini mwanadamu hajui yatakayokuwako; nayo yatakayokuwa baada yake, ni nani awezaye kumweleza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpumbavu hububujika maneno. Binadamu hajui yatakayokuwako, wala yale yatakayotukia baada yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna ye yote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna yeyote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, upumbavu huongeza maneno; lakini mwanadamu hajui yatakayokuwako; nayo yatakayokuwa baada yake, ni nani awezaye kumweleza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpumbavu hububujika maneno. Binadamu hajui yatakayokuwako, wala yale yatakayotukia baada yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye mjinga husema mengi; lakini hakuna mtu ayajuaye yatakayokuwa, tena yuko nani awezaye kumweleza yatakayokuwa nyuma yake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, upumbavu huongeza maneno; lakini mwanadamu hajui yatakayokuwako; nayo yatakayokuwa baada yake, ni nani awezaye kumweleza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupumbafu anasema maneno mengi. Mwanadamu hajui yatakayokuwa, wala yale yatakayotukia nyuma yake.