Ecclesiastes 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wako, nchi, akiwa mfalme wako ni kijana, Na wakuu wako hula asubuhi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wako, Ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wako, nchi, iwapo mfalme wako ni kijana, Na wakuu wako hula asubuhi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wako, ewe nchi, mtawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya sherehe asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona mabaya, wewe nchi, mfalme wako akiwa kijana, nao wakuu wako wakila na mapema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wako, nchi, akiwa mfalme wako ni kijana, Na wakuu wako hula asubuhi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wako, ewe inchi, mutawala wako akiwa kijana, na viongozi wako wakifanya karamu asubui.