Ecclesiastes 10:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu ni mvivu, paa la nyumba huinama; kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa utepetevu wa mikono nyumba huvuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa ulegevu wa mikono nyumba huvuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na uvivu wa mtu, paa hubonyea; kwa sababu ya uzembe, nyumba huvuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili yao wajengao kwa uvivu kipaa huinama, kwa ulegevu wa mikono nyumba huvuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa utepetevu wa mikono nyumba huvuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na uvivu wa mutu, paa ya nyumba inaanguka; kwa sababu ya uregevu, nyumba inavuja.