Ecclesiastes 10:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimwapize mtawala hata moyoni mwako, wala usimwapize tajiri hata chumbani mwako unakolala, kwa kuwa ndege ataisikia sauti yako, au kiumbe arukaye atatangaza maneno yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimlaani mfalme, la, hata katika wazo lako; Wala usiwalaani wakwasi chumbani mwako; Kwa kuwa ndege wa anga ataichukua sauti, Na mwenye mabawa ataitoa habari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimwapize mtawala hata moyoni mwako, wala usimwapize tajiri hata chumbani mwako unakolala, kwa kuwa ndege ataisikia sauti yako, au kiumbe arukaye atatangaza maneno yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimlaani mfalme, la, hata katika wazo lako; Wala usiwalaani wakwasi chumbani mwako; Kwa kuwa ndege wa anga ataichukua sauti, Na mwenye mabawa ataitoa habari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimwapize mtawala hata moyoni mwako, wala usimwapize tajiri hata chumbani mwako unakolala, kwa kuwa ndege ataisikia sauti yako, au kiumbe arukaye atatangaza maneno yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme usimtukane hata kwa mawazo yako! Wala chumbani mwako, unamolala, usimtukane mwenye mali! Kwani ndege wa angani watayapeleka, uliyoyasema, naye mwenye mabawa atayatangaza hayo maneno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimlaani mfalme, la, hata katika wazo lako; Wala usiwalaani wakwasi chumbani mwako; Kwa kuwa ndege wa anga ataichukua sauti, Na mwenye mabawa ataitoa habari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimutukane mutawala hata ndani ya moyo wako, wala usimutukane tajiri hata ndani ya chumba chako cha kulala, maana ndege atapeleka sauti yako, kiumbe kinachoruka kitatangaza maneno yako.