Ecclesiastes 10:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna uovu niliogundua hapa duniani, uovu unaosababishwa na watawala:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna ubaya niliouona chini ya jua, aina ya kosa litokalo kwa mtawala:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Liko baa nililoliona chini ya jua, nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye atawalaye;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna uovu niliogundua hapa duniani, uovu unaosababishwa na watawala:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna ubaya niliouona chini ya jua, aina ya kosa litokalo kwa mtawala:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna ubaya niliouona chini ya jua, aina ya kosa litokalo kwa mtawala:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Liko baa nililoliona chini ya jua, nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye atawalaye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna uovu niliogundua hapa duniani, uovu unaosababishwa na watawala:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako mabaya, niliyoyaona chini ya jua, ni kama kosa litokalo kwake mwenye ukuu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Liko baa nililoliona chini ya jua, nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye atawalaye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna uovu niliotambua hapa chini ya jua, uovu unaosababishwa na watawala: