Ecclesiastes 10:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwamba wapumbavu wanapewa kazi za madaraka ya juu, na matajiri wanachukua nafasi za mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za utawala, hali matajiri wanashika nafasi za chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kuwa upumbavu huwekwa mahali pa juu sana, nao wakwasi hukaa mahali pa chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwamba wapumbavu wanapewa kazi za madaraka ya juu, na matajiri wanachukua nafasi za mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, wakati matajiri hushika nafasi za chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, wakati matajiri hushika nafasi za chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kuwa upumbavu huwekwa mahali pa juu sana, nao wakwasi hukaa mahali pa chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwamba wapumbavu wanapewa kazi za madaraka ya juu, na matajiri wanachukua nafasi za mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni mjinga akitukuzwa sana, nao wenye mali wakikaa na kunyenyekezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kuwa upumbavu huwekwa mahali pa juu sana, nao wakwasi hukaa mahali pa chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wapumbafu wanapewa kazi za madaraka ya juu, na watajiri wanakamata nafasi za mwisho.