Ecclesiastes 10:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, wakati wakuu wakitembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaona nao watumishi wanaopanda farasi, wakuu wakienda na kukanyaga nchi kama watumishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi kama watumwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeona watumwa wanapanda juu ya farasi, na wakubwa wanatembea kwa miguu kama watumwa.