Ecclesiastes 10:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye kuchimba shimo atatumbukia ndani yake; Na yeye abomoaye boma, nyoka atamwuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, ye yote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye achimbaye shimo aweza kutumbukia ndani yake, yeyote abomoaye ukuta anaweza kuumwa na nyoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye kuchimba shimo atatumbukia ndani yake; Na yeye abomoaye boma, nyoka atamwuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchimba shimo hutumbukia mwenyewe, abomoaye ukuta huumwa na nyoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Achimbaye mwina hutumbukia humo, naye abomoaye boma huumwa na nyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye kuchimba shimo atatumbukia ndani yake; Na yeye abomoaye boma, nyoka atamwuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anayechimba shimo anatumbukia ndani yake mwenyewe, anayebomoa ukuta anaumwa na nyoka.