Ecclesiastes 10:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, ye yote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote apasuaye mawe inawezekana yakamuumiza, yeyote apasuaye magogo inawezekana yakamuumiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchonga mawe huumizwa nayo, mkata kuni hukabiliwa na hatari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Avunjaye mawe huumizwa nayo, naye achanjaye kuni hujiponza papo hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye kuchonga mawe ataumizwa kwayo; Naye apasuaye miti huona hatari katika hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchonga mawe anaumizwa nayo, mukata kuni anapatwa na hatari.