Ecclesiastes 11:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, kwa maana hujui ni baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, kwa maana hujui ni baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, kwa maana hujui ni baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine uzigawie watu saba au wanane, kwani huyajui mabaya yatakayokuwa katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gawa sehemu moja kwa watu saba hata wanane, maana, haujui hasara itakayofika katika dunia.