Ecclesiastes 11:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote atazamaye upepo hatapanda, yeyote anayeangalia mawingu hatavuna.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote atazamaye upepo hatapanda, ye yote aangaliaye mawingu hatavuna.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote atazamaye upepo hatapanda, yeyote aangaliaye mawingu hatavuna.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayengoja upepo hatapanda mbegu, anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Auangaliaye upepo hatamwaga mbegu, wala ayatazamaye mawingu hatavuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayechunguza upepo hatapanda mbegu, anayeangalia mawingu yatoweke, hatavuna kitu.