Ecclesiastes 12:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa na sauti ya kusaga kufifia; wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, lakini nyimbo zao zote zikififia;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kusituka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa na sauti ya kusaga kufifia; wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, lakini nyimbo zao zote zikififia;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa na sauti ya kusaga kufifia; wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, lakini nyimbo zao zote zikififia;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kushtuka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati ambapo milango ya masikio yako imezibika, na sauti za visagio ni hafifu; lakini usiku hata kwa sauti ya ndege utagutuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo milango ielekeayo njiani itafungwa, nacho kishindo cha mawe ya kusagia kitakuwa kidogo; ndipo, watu watakapoamka, jogoo akiwika, nao waimbaji wote wa kike watazipunguza sauti zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na milango kufungwa katika njia kuu; Sauti ya kinu itakapokuwa ni ndogo; Na mtu kusituka kwa sauti ya ndege; Nao binti za kuimba watapunguzwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
milango imefungwa, sauti za visagio zimekuwa ndogo, watu wanashituliwa na sauti ya ndege, sauti za muziki zimekuwa ndogo,