Ecclesiastes 12:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, zaidi ya kuwa na hekima yake, Mhubiri aliwafundisha watu ujuzi. Alizipima, akazichunguza na kuzirekebisha methali kwa ustadi mwingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini, kwa sababu huyo Mhubiri alikuwa na hekima, aliendelea kuwafundisha watu maarifa, naam, akatafakari, akatafuta-tafuta, akatunga mithali nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, zaidi ya kuwa na hekima yake, Mhubiri aliwafundisha watu ujuzi. Alizipima, akazichunguza na kuzirekebisha methali kwa ustadi mwingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, kwa sababu huyo Mhubiri alikuwa na hekima, aliendelea kuwafundisha watu maarifa, naam, akatafakari, akachunguza, akatunga mithali nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, zaidi ya kuwa na hekima yake, Mhubiri aliwafundisha watu ujuzi. Alizipima, akazichunguza na kuzirekebisha methali kwa ustadi mwingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jingine ni hili: huyu mpiga mbiu hakuwa mwerevu wa kweli yeye tu, ila nao watu aliwafundisha ujuzi, akawa mwenye mawazo makuu ya kuchunguza mambo, akatunga mafumbo mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini, kwa sababu huyo Mhubiri alikuwa na hekima, aliendelea kuwafundisha watu maarifa, naam, akatafakari, akatafuta-tafuta, akatunga mithali nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, zaidi ya kuwa na hekima yake, Muhubiri aliendelea kuwafundisha watu ujuzi. Alipima, akachunguza na kutia kwa usawa mezali kwa ufundi mwingi.