Ecclesiastes 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nilipofikiria tena juu ya yote niliyofanya duniani, nilikata tamaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo moyo wangu ukaanza kukata tamaa juu ya kazi yangu yote niliyoifanya kwa taabu chini ya jua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nilipofikiria tena juu ya yote niliyofanya duniani, nilikata tamaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo moyo wangu ukaanza kukata tamaa juu ya kazi yangu yote niliyoifanya kwa taabu chini ya jua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo moyo wangu ukaanza kukata tamaa juu ya kazi yangu yote niliyoifanya kwa taabu chini ya jua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nilipofikiria tena juu ya yote niliyofanya duniani, nilikata tamaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipotangatanga na kuzikata tamaa zote za moyo wangu kwa ajili ya masumbuko, niliyoyasumbuka chini ya jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nilipofikiri tena juu ya jasho yote niliyotoa chini ya jua, nilikata tamaa.