Ecclesiastes 2:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mtu hupata nini kwa kazi yake yote, na kwa juhudi ya moyo wake alivyojitahidi chini ya jua?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mtu hupata nini kwa kazi yake yote, na kwa juhudi ya moyo wake alivyojitahidi chini ya jua?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kiko kitu gani, mtu anachokipata kwa masumbuko yake yote na kwa bidii za moyo wake, ulizozifanya na kusumbuka chini ya jua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mtu hupata nini kwa kazi yake yote, na kwa juhudi ya moyo wake alivyojitahidi chini ya jua?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anafaidia nini kutokana na jasho yake yote, na juhudi anazohangaika nazo chini ya jua?