Ecclesiastes 2:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yuko nani awezaye kula na kujifurahisha, huyu akiwa hayuko?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana usipojaliwa na Mungu, hauwezi kupata chakula wala kujifurahisha.