Ecclesiastes 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilifanya mambo makuu: Nilijenga majumba na kujilimia mashamba ya mizabibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikafanya miradi mikubwa: Nikajijengea majumba na kulima mashamba ya mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikajifanyizia kazi zilizo kubwa; nikajijengea nyumba; nikajipandia mashamba ya mizabibu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilifanya mambo makuu: nilijenga majumba na kujilimia mashamba ya mizabibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikafanya miradi mikubwa: Nikajijengea majumba na kulima mashamba ya mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikafanya miradi mikubwa: Nikajijengea majumba na kulima mashamba ya mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikajifanyia mambo makuu; nikajijengea nyumba; nikajipandia mashamba ya mizabibu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilifanya mambo makuu: Nilijenga majumba na kujilimia mashamba ya mizabibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo yangu, niliyoyafanya, yakawa makubwa: nilijijengea nyumba, nikajipandia mizabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikajifanyizia kazi zilizo kubwa; nikajijengea nyumba; nikajipandia mashamba ya mizabibu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilifanya mambo makubwa: nilijenga nyumba na kujilimia mashamba ya mizabibu.