Ecclesiastes 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilijifanyia bustani na viunga, nikapanda miti ya matunda ya kila aina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatengeneza bustani na viwanja vya starehe; nikaotesha huko kila aina ya miti ya matunda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikajifanyizia bustani na viunga, na kuipanda humo miti yenye matunda ya kila namna;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilijifanyia bustani na viunga, nikapanda miti ya matunda ya kila aina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatengeneza bustani na viwanja vya starehe nikaotesha huko kila aina ya miti ya matunda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatengeneza bustani na viwanja vya starehe nikaotesha huko kila aina ya miti ya matunda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikajifanyia bustani na viunga, na kuipanda humo miti yenye matunda ya kila namna;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilijifanyia bustani na viunga, nikapanda miti ya matunda ya kila aina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajitengenezea mashamba na vimwitu, nikapanda humo miti ya matunda ya kila namna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikajifanyizia bustani na viunga, na kuipanda humo miti yenye matunda ya kila namna;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilijifanyia bustani na mashamba ya miti, nikapanda miti ya matunda ya kila aina.