Ecclesiastes 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilijichimbia mabwawa ya maji ya kumwagilia hiyo miti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikajenga mabwawa ya kukusanya maji ya kunyweshea hii miti iliyokuwa inastawi vizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikajifanyizia birika za maji, ya kuunyweshea mwitu mlimopandwa miti michanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilijichimbia mabwawa ya maji ya kumwagilia hiyo miti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikajenga mabwawa ya kukusanya maji ya kunyweshea hii miti iliyokuwa inastawi vizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikajenga mabwawa ya kukusanya maji ya kunyweshea hii miti iliyokuwa inastawi vizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikajifanyia mabwawa ya maji, ya kuunyweshea msitu mlimopandwa miti michanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilijichimbia mabwawa ya maji ya kumwagilia hiyo miti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajitengenezea nayo maziwa ya maji ya kunyweshea mwitu, uichipuze miti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikajifanyizia birika za maji, ya kuunyweshea mwitu mlimopandwa miti michanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilijichimbia visima vya maji ya kumwangilia ile miti.