Ecclesiastes 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, nikawa mkuu, mkuu kuwapita wote waliopata kuwako Yerusalemu kabla yangu; na hekima yangu ikakaa ndani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikawa maarufu sana kuliko mtu mwingine yeyote aliyepata kuishi Yerusalemu kabla yangu. Katika haya yote bado nikawa nina hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikawa mkuu, nikaongezeka kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu; pia hekima yangu nikakaa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, nikawa mkuu, mkuu kuwapita wote waliopata kuwako Yerusalemu kabla yangu; na hekima yangu ikakaa ndani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikawa maarufu sana kuliko mtu mwingine ye yote aliyepata kuishi Yerusalemu kabla yangu. Katika haya yote bado nikawa nina hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikawa maarufu sana kuliko mtu mwingine yeyote aliyepata kuishi Yerusalemu kabla yangu. Katika haya yote bado nikawa nina hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikawa mkuu, nikaongezeka kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu; pia hekima yangu nikakaa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, nikawa mkuu, mkuu kuwapita wote waliopata kuwako Yerusalemu kabla yangu; na hekima yangu ikakaa ndani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nikawa mkuu zaidi kuwashinda wote pia waliokuwako mbele yangu Yerusalemu, nao werevu wangu wa kweli ukakaa kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikawa mkuu, nikaongezeka kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu; pia hekima yangu nikakaa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikakuwa mukubwa, mukubwa kuwapita wote waliopata kuwa katika Yerusalema mbele yangu. Na hekima yangu ikakaa ndani yangu.