Ecclesiastes 3:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chochote kilichopo kilishakuwepo, na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo; naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yale yaliyoko yamekuwako; na hayo yatakayokuwako yamekwisha kuwako; naye Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Cho chote kilichopo kilishakuwapo, na kitakachokuwapo kimekwishakuwapo kabla; naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chochote kilichopo kilishakuwepo, na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo kabla; naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yale yaliyoko yamekuwako; na hayo yatakayokuwako yamekwisha kuwako; naye Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia baadaye kilikwisha tukia; na Mungu hukifanya kitu kilekile kitukie tena na tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaliyoko yalikuwako kale, nayo yatakaokuwako yalikuwako kale. Naye Mungu huyazusha yaliyopitishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yale yaliyoko yamekuwako; na hayo yatakayokuwako yamekwisha kuwako; naye Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinachotukia sasa, kilikwisha tukia; kitakachotukia nyuma kilikwisha kutukia. Mungu anafanya kitu kitukie tena na tena.