Ecclesiastes 3:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote hufa na kwenda mahali pamoja. Wote wametoka mavumbini; na wote watarudi mavumbini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote huenda mahali panapofanana; wote hutoka mavumbini, mavumbini wote hurudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote hufa na kwenda mahali pamoja. Wote wametoka mavumbini; na wote watarudi mavumbini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote huenda mahali panapofanana; wote hutoka mavumbini, mavumbini wote hurudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote huenda mahali panapofanana; wote hutoka mavumbini, mavumbini wote hurudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote hufa na kwenda mahali pamoja. Wote wametoka mavumbini; na wote watarudi mavumbini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pia hupaendea mahali pale pamoja: wote walitoka uvumbini, tena wote hurudi uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanakufa na kwenda kwa nafasi moja. Wote wametoka katika mavumbi na wote watarudi katika mavumbi.