Ecclesiastes 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikaona kwamba wote walioishi na kutembea chini ya jua walimfuata kijana, aliyepokea ufalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawaona wote walio hai waendao chini ya jua, ya kwamba walishikamana na huyo kijana, huyo wa pili aliyesimama badala ya yule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikaona kwamba wote walioishi na kutembea chini ya jua walimfuata kijana, aliyepokea ufalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikaona kwamba wote walioishi na kutembea chini ya jua walimfuata kijana, aliyepokea ufalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawaona wote walio hai waendao chini ya jua, ya kwamba walishikamana na huyo kijana, huyo wa pili aliyesimama badala ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaona wote walioishi na kutembea chini ya jua, wakirudi upande wa huyo kijana wa pili aliyesimama mahali pake yule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawaona wote walio hai waendao chini ya jua, ya kwamba walishikamana na huyo kijana, huyo wa pili aliyesimama badala ya yule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwaona watu wote wanaoishi chini ya jua wakishikamana na yule kijana ambaye angekamata nafasi ya mufalme.