Ecclesiastes 4:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nikasema kwamba wafu, waliokwisha kufa, wana furaha kuliko watu walio hai, ambao bado wanaishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nikasema kwamba wafu, waliokwisha kufa, wana furaha kuliko watu walio hai, ambao bado wanaishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nikasema kwamba wafu, waliokwisha kufa, wana furaha kuliko watu walio hai, ambao bado wanaishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu waliokwenda wasikorudi, wana nafuu zaidi kuliko watu walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii nikawawazia wafu waliokufa kale kuwa wenye shangwe kuliko wao wanaoishi bado wenye maisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nikawasifu wafu waliokwisha kufa kuliko wenye uhai walio hai bado;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikafikiri ndani ya moyo kwamba heri wafu waliokwisha kufa kuliko watu wanaokuwa wazima.