Ecclesiastes 4:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wawili ni afadhali kuliko mmoja, kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wawili ni afadhali kuliko mmoja, kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wawili ni afadhali kuliko mmoja, kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Kwa sababu wana tuzo njema kwa kazi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuwa wawili kunafaa kuliko kuwa mmoja tu, kwa kuwa hao hupata mshahara mwema wa masumbuko yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni afazali kuwa wawili kuliko mutu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata matunda ya jasho yao.