Ecclesiastes 5:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, nimeona jambo moja ovu sana duniani: Mtu alijirundikia mali ikawa hatari kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: Utajiri uliolimbikizwa na kuleta madhara kwa mwenye mali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna na balaa mbaya sana niliyoiona chini ya jua, nayo ni hii, mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, nimeona jambo moja ovu sana duniani: mtu alijirundikia mali ikawa hatari kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima na kuleta madhara kwa mwenye mali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima na kuleta madhara kwa mwenye mali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna balaa mbaya sana niliyoiona chini ya jua, nayo ni hii, mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, nimeona jambo moja ovu sana duniani: Mtu alijirundikia mali ikawa hatari kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uko ubaya unaouguza, nami nimeuona chini ya jua, ni huu: mali zilizoangaliwa na mwenyewe mwisho zikimpatia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna na balaa mbaya sana niliyoiona chini ya jua, nayo ni hii, mali alizoziweka mwenyewe kwa kujinyima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa bahati mbaya, mali hiyo iliharibiwa katika matumizi mabaya. Kwa mwisho, mutu yule hakukuwa na kitu chochote wakati alipokuwa na mwana.