Ecclesiastes 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa bahati mbaya, mali hiyo iliharibiwa katika matumizi mabaya, mwisho, mtu huyo hakuwa na chochote mkononi na alikuwa na mwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya, kiasi kwamba wakati akiwa na mwana hakuna chochote kilichobaki kwa ajili yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mali hizo zimepotea kwa bahati mbaya; naye akiwa amezaa mwana, hamna kitu mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa bahati mbaya, mali hiyo iliharibiwa katika matumizi mabaya, mwisho, mtu huyo hakuwa na chochote mkononi na alikuwa na mwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya, hivyo kwamba wakati akiwa na mwana hakuna cho chote kilichobaki kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au utajiri uliopotea kwa bahati mbaya, hivyo kwamba wakati akiwa na mwana hakuna chochote kilichobaki kwa ajili yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mali hizo zimepotea kwa bahati mbaya; naye akiwa amezaa mwana, hamna kitu mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa bahati mbaya, mali hiyo iliharibiwa katika matumizi mabaya, mwisho, mtu huyo hakuwa na chochote mkononi na alikuwa na mwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mali hizo zikipotea kwa kutumikiwa vibaya, naye akiwa amezaa mtoto, basi, hakuna hata kidogo kitakachokuwa mkononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mali hizo zimepotea kwa bahati mbaya; naye akiwa amezaa mwana, hamna kitu mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile mwanadamu alivyokuja katika dunia akiwa uchi toka katika tumbo la mama yake, ndivyo atakavyorudi uchi kule alikotoka. Hataweza kupeleka hata sehemu ndogo ya mapato ya kazi yake.