Ecclesiastes 5:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliishi maisha yake yote katika giza na huzuni; katika mahangaiko, magonjwa na hasira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zake zote hula gizani, pamoja na fadhaa kubwa, mateso na hasira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zake zote hula gizani, mwenye fadhaa nyingi, mwenye ugonjwa na uchungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliishi maisha yake yote katika giza na huzuni; katika mahangaiko, magonjwa na hasira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zake zote hula gizani, pamoja na fadhaa kubwa, mateso na hasira.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zake zote hula gizani, pamoja na fadhaa kubwa, mateso na hasira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zake zote hula gizani, mwenye fadhaa nyingi, mwenye ugonjwa na uchungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliishi maisha yake yote katika giza na huzuni; katika mahangaiko, magonjwa na hasira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye siku zake zote alizila na kukaa gizani mwenye masikitiko mengi kwa kuugua na kwa kukasirika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zake zote hula gizani, mwenye fadhaa nyingi, mwenye ugonjwa na uchungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, haya ndiyo niliyotambua: jambo zuri na lenye kufaa kwa mwanadamu ni kula, kunywa na kufurahia matunda ya jasho anayotoa hapa chini ya jua, siku zile chache za maisha aliyojaliwa na Mungu, maana hivi ndivyo alivyopangiwa.