Ecclesiastes 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno mengi hayana faida, hayamwinui binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno yanavyokuwa mengi, ndivyo yanavyokosa maana, Je, hilo linamfaidia vipi yeyote?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa kuwa kuna mambo mengi yaongezayo ubatili, mwanadamu hufaidiwa nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno mengi hayana faida, hayamwinui binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno yanavyokuwa mengi, ndivyo yanavyokosa maana, Je, hilo linamfaidia vipi ye yote?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno yanavyokuwa mengi, ndivyo yanavyokosa maana, Je, hilo linamfaidia vipi yeyote?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa kuwa kuna mambo mengi yaongezayo ubatili, mwanadamu hufaidiwa nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno mengi hayana faida, hayamwinui binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yako mambo mengi yaletayo mengi yaliyo ya bure; hayo mtu yanamfalia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa kuwa kuna mambo mengi yaongezayo ubatili, mwanadamu hufaidiwa nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno yanapokuwa mengi, ndivyo yanaendelea kuwa bure. Hayana faida.