Ecclesiastes 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa hakuwahi kuliona jua wala kujua kitu chochote, yeye ana pumziko kuliko mtu huyo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena, haikuliona jua wala kulifahamu; basi, hii imepata kustarehe kuliko yule;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa hakuwahi kuliona jua wala kujua kitu cho chote, yeye ana pumziko zaidi kuliko mtu huyo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa hakuwahi kuliona jua wala kujua kitu chochote, yeye ana pumziko zaidi kuliko mtu huyo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena, haikuliona jua wala kulifahamu; basi, hii imepata kustarehe kuliko yule;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, mtoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwanga wa jua wala kutambua chochote. Hata hivyo, huyo mtoto angalau hupata pumziko ambapo yule mtu hapati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua tu hakuliona, wala halijui; lakini hutulia kuliko yule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena, haikuliona jua wala kulifahamu; basi, hii imepata kustarehe kuliko yule;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hayo, mutoto wa namna hiyo hakupata kuuona mwangaza wa jua wala kutambua kitu chochote. Hata hivyo, yule mutoto anapumzika kuliko yule mutu.