Ecclesiastes 6:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo. Afadhali kuridhika na ulicho nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni bora kile ambacho jicho linakiona kuliko hamu isiyotoshelezwa. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri kuona kwa macho, Kuliko kutanga-tanga kwa tamaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo. Afadhali kuridhika na ulicho nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni bora kile ambacho jicho linakiona kuliko hamu isiyotoshelezwa. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni bora kile ambacho jicho linakiona kuliko hamu isiyotoshelezwa. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri kuona kwa macho, Kuliko kutangatanga kwa tamaa. Hayo nayo ni ubatili, na kufukuza upepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo nayo ni bure kabisa; ni sawa na kufukuza upepo. Afadhali kuridhika na ulicho nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuyatazama yaliyoko machoni ni kwema kuliko kwenda na kuzifuata tamaa; hayo nayo ni ya bure na kuukimbilia upepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri kuona kwa macho, Kuliko kutanga-tanga kwa tamaa. Hayo nayo ni ubatili, na kujilisha upepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo nayo ni bure sawa na kutaka kumata upepo. Afazali kufurahia kitu ambacho uko nacho kuliko kuhangaika kwa kutamani kitu kingine.