Ecclesiastes 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hekima ni njema, mfano wa urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionao jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionao jua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hekima ni njema kama urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionalo jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hekima ni ya thamani kubwa kama urithi; ni muhimu kwa wale wote walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Werevu wa kweli ni mwema kama fungu uliloachiwa, tena ni pato kwao walionao jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hekima ni njema, mfano wa urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionao jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hekima ni ya bei kubwa kama urizi; ni ya mafaa kwa wale wote wanaokuwa wazima.