Ecclesiastes 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tafakarini vema kazi yake Mungu; ni nani awezaye kunyosha alichopinda Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tafakari kile Mungu alichokitenda: Nani awezaye kunyoosha kile ambacho yeye amekipinda?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafakari vema kazi yake Mungu; kwa sababu ni nani awezaye kukinyosha kitu kile alichokipotosha yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tafakarini vema kazi yake Mungu; ni nani awezaye kunyosha alichopinda Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tafakari kile Mungu alichokitenda: Nani awezaye kunyosha kile ambacho yeye amekipinda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tafakari kile Mungu alichokitenda: Nani awezaye kunyoosha kile ambacho yeye amekipinda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafakari vema kazi yake Mungu; kwa sababu ni nani awezaye kukinyosha kitu kile alichokipotosha yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tafakarini vema kazi yake Mungu; ni nani awezaye kunyosha alichopinda Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatazame matendo yake Mungu! Kwani yuko nani awezaye kuyanyosha aliyoyapotoa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafakari vema kazi yake Mungu; kwa sababu ni nani awezaye kukinyosha kitu kile alichokipotosha yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufikiri vema juu ya kazi ya Mungu. Ni nani anayeweza kunyoosha kitu Mungu alichokunja?