Ecclesiastes 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku za fanaka uwe na furaha; katika siku za maafa utafakari jambo hili: Fanaka, pia maafa, Mungu amefanya hiyo ya kwanza iambatane na ya pili ili binadamu asiweze kujua yatakayotukia baada yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi, lakini nyakati zikiwa mbaya, tafakari hili: Mungu amefanya hiyo moja; naam, pia na hiyo nyingine. Kwa hiyo, mwanadamu hawezi kugundua kitu chochote kuhusu maisha yake ya baadaye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku za fanaka uwe na furaha; katika siku za maafa utafakari jambo hili: fanaka, pia maafa, Mungu amefanya hiyo ya kwanza iambatane na ya pili ili binadamu asiweze kujua yatakayotukia baada yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi, lakini nyakati zikiwa mbaya tafakari: Mungu amefanya hiyo moja, naam sanjari na hiyo nyingine. Kwa hiyo, mwanadamu hawezi kugundua kitu cho chote kuhusu maisha yake ya baadaye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi, lakini nyakati zikiwa mbaya, tafakari: Mungu amefanya hiyo moja, naam, sanjari na hiyo nyingine. Kwa hiyo, mwanadamu hawezi kugundua kitu chochote kuhusu maisha yake ya baadaye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lolote litakalofuata baada yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku za fanaka uwe na furaha; katika siku za maafa utafakari jambo hili: Fanaka, pia maafa, Mungu amefanya hiyo ya kwanza iambatane na ya pili ili binadamu asiweze kujua yatakayotukia baada yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ikiwa njema, nawe furahiwa! Lakini siku ikiwa mbaya, jiangalie! Kwani hii nayo Mungu ameifanya, kama alivyoifanya ile, kwa kwamba: Mtu asione cho chote kitakachokuwako nyuma yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku za kufanikiwa ukuwe na furaha. Katika siku za hasara ufikiri juu ya jambo hili: Mungu amefanya hiyo ya kwanza iambatane na ya pili kusudi mwanadamu asipate kujua mambo yatakayotukia nyuma yake.