Ecclesiastes 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inakupasa ushike la kwanza na la pili pia; maana anayemtii Mungu atajengwa kwayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni vyema kushika hilo moja na wala usiache hilo jingine likupite. Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni vizuri kwamba ulishike neno hilo; naam, hata kwa neno hilo tena usiuondoe mkono wako; kwa kuwa mtu yule amchaye Mungu atatoka katika hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inakupasa ushike la kwanza na la pili pia; maana anayemtii Mungu atajengwa kwayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni vyema kushika hilo moja na wala usiache hilo jingine likupite. Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni vyema kushika hilo moja na wala usiache hilo jingine likupite. Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni vizuri kwamba ulishike neno hilo; naam, hata kwa neno hilo tena usiuondoe mkono wako; kwa kuwa mtu yule amchaye Mungu atatoka katika hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inakupasa ushike la kwanza na la pili pia; maana anayemtii Mungu atajengwa kwayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni vema, ushike upande huu! Lakini napo penye upande mwingine usiuondoe mkono wako! Kwani amchaye Mungu huyapona yote mawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni vizuri kwamba ulishike neno hilo; naam, hata kwa neno hilo tena usiuondoe mkono wako; kwa kuwa mtu yule amchaye Mungu atatoka katika hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inakupasa ushike neno la kwanza na la pili vilevile; maana anayemutii Mungu atayaepuka yote.