Ecclesiastes 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo kuliko watawala kumi katika mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hekima humfanya mwenye busara kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi mjini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Werevu wa kweli humtia mwerevu wa kweli nguvu zaidi kuliko wakuu kumi watawalao mjini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hekima ni nguvu zake mwenye hekima, Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hekima inamufanya mwenye hekima kuwa na nguvu zaidi kuliko watawala kumi katika muji.