Ecclesiastes 7:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, unaweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, usitie moyoni mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali anakutukana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, waweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, waweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena usiyaangalie maneno yote, watu wanayoyasema, usije kumsikia mtumishi wako, akikutukana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, usitie moyoni mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali anakutukana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usifuate maneno yote wanadamu wanayosema, kusudi usisikie mutumishi wako akikutukana.