Ecclesiastes 7:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa unafahamu moyoni mwako kwamba wewe mwenyewe mara nyingi umewalaani wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa unafahamu moyoni mwako kwamba wewe mwenyewe mara nyingi umewalaani wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa unafahamu moyoni mwako kwamba wewe mwenyewe mara nyingi umewalaani wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani moyo wako unajua, ya kuwa nawe mara nyingi ulitukana wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwenyewe unajua ndani ya moyo kwamba umetukana wengine mara nyingi.