Ecclesiastes 7:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jinsi gani binadamu ataweza kugundua maana ya maisha; jambo hilo ni zito na gumu mno kwetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyovyote hekima ilivyo, hekima iko mbali sana na imejificha, ni nani awezaye kuigundua?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jinsi gani binadamu ataweza kugundua maana ya maisha; jambo hilo ni zito na gumu mno kwetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyo vyote hekima ilivyo, hekima iko mbali sana na imejificha, ni nani awezaye kuigundua?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyovyote hekima ilivyo, hekima iko mbali sana na imejificha, ni nani awezaye kuigundua?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jinsi gani binadamu ataweza kugundua maana ya maisha; jambo hilo ni zito na gumu mno kwetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iliyokuwa sababu yao ya kuwa hivyo iko mbali, tena imefichika sanasana, atakayeivumbua yuko nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jinsi gani mwanadamu ataweza kutambua maana ya maisha? Jambo hilo ni zito na gumu sana kwetu.