Ecclesiastes 7:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya, nakuambia mimi Mhubiri, ndio niliyogundua nilipofanya uchunguzi wangu kidogokidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mhubiri anasema, “Tazama, hili ndilo nililogundua: “Nimegundua kitu kimoja baada ya kingine nilipokuwa katika kusudi la mambo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili, ili kuitafuta jumla;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya, nakuambia mimi Mhubiri, ndio niliyogundua nilipofanya uchunguzi wangu kidogokidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mhubiri anasema, “Tazama, hili ndilo nililogundua: “Nimegundua kitu kimoja baada ya kingine nilipokuwa katika kusudi la mambo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mhubiri anasema, “Tazama, hili ndilo nililogundua: “Nimegundua kitu kimoja baada ya kingine nilipokuwa katika kusudi la mambo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili, ili kuitafuta jumla;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya, nakuambia mimi Mhubiri, ndio niliyogundua nilipofanya uchunguzi wangu kidogokidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpiga mbiu akasema: Yatazame, niliyoyaona kwa kuunganisha moja kwa moja, nipate kuyatambua yaliyo kweli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili, ili kuitafuta jumla;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuambia mimi Muhubiri, haya ndiyo niliyotambua nilipofanya uchunguzi wangu kidogokidogo.