Ecclesiastes 7:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, nimegundua jambo hili moja: Kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wanyofu, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo peke yake nililolipata: Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, nimegundua jambo hili moja: kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wanyofu, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo peke yake nililolipata: Mungu amemwumba mwanadamu mnyofu, lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo peke yake nililolipata: Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamepanga mipango mingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, nimegundua jambo hili moja: Kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wanyofu, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hili moja, nililoliona, litazame nalo: Mungu alimwumba mtu kuwa mwongofu, lakini wao hutafuta mizungu mingi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimetambua jambo hili moja: kwamba Mungu aliwaumba wanadamu wenye usawa, lakini wao wenyewe wamejitafutia matatizo.