Ecclesiastes 7:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko maana, huzuni ya uso ni faida ya moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko maana, huzuni ya uso ni faida ya moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, kwa sababu uso wenye huzuni wafaa kwa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko maana, huzuni ya uso ni faida ya moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Masikitiko ni mema kuliko macheko, kwani uso ukiwa mbaya, moyo huwa mwema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko, Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huzuni ni afazali kuliko kicheko, maana, kwa huzuni ya uso moyo unafurahishwa.