Ecclesiastes 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wa mwenye hekima huthamini matanga, lakini moyo wa mpumbavu hupenda raha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wa wenye hekima uko katika nyumba ya msiba, lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya anasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wa mwenye hekima huthamini matanga, lakini moyo wa mpumbavu hupenda raha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wa wenye hekima uko katika nyumba ya msiba, lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya anasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wa wenye hekima uko katika nyumba ya msiba, lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya anasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wa mwenye hekima huthamini matanga, lakini moyo wa mpumbavu hupenda raha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mioyo ya werevu wa kweli huwa nyumbani mwenye matanga, lakini mioyo ya wajinga huwa nyumbani mwenye furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wa mwenye hekima uko ndani ya nyumba ya kilio, lakini moyo wa mupumbafu unapenda raha.